Mobile users: Download aina zote za video moja kwa moja.

Mobile users: Download aina zote za video moja kwa moja.

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
3,926
Reaction score
1,160
Wadau kuna hii wapsite ya ZinkWapHD.com - Search And Free Download Hd, HQ, Mp4, Flv Videos Free Download Inakupa Movies, music videos na video zinginezo kwa njia rahisi kwa maana hauhitaji downloader application bali ni kusearch tu video unayohitaji na kuchagua format unayoitaka kisha unaishusha. Sio vibaya kama tutapeana link zingine kali zaidi. NB UCWEB au phone browsers ndizo zinahimiri kushusha mzigo mkubwa na wale wa madude yetu yalee pia inakubali.
 
thanks for sharing. Yap uc browser ni nzuli
 
E bwana. nimejaribu ila inaniletea tu option ya play video. Hakuna ya kudownload.
 
dah cm yangu nokia 311 inasumbua sana ntafanyaje;?
 
Kweli huu mwaka mpya hadi Likwanda kaanzisha thread
Gud move bana maana sharing is caring
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom