mobile user must visit this topic

unaweza fanya option hizi

1) usubirie sa 5 usiku utumie airtel

2) jiunge airtel boom club

3) tumia trick za voda both pc na mobile zipo humu jf
 
Ebwana shukrani sana, kuna series (24) niliishia katikati nilishakata tamaa ya kumalizia season 8, lakini kwenye fztvseries kuna kila kitu, big up mkubwa,kwenye iphone AVI format inagonga kama kawaida.
 
Mkuu- chief Mkwawa
hiyo thread mpya umei title vip?
Mbona sijaiona?
 
Mkuu Mm player hyo ya Kwanza nataka Kuidownload Ila Wameniwekea Lugha Ya Russian !!! msaada... then kama kuna player ya simu inaweza kuplay .kmv na .webm msaada na hzo pia!!!!
 
Mkuu Mm player hyo ya Kwanza nataka Kuidownload Ila Wameniwekea Lugha Ya Russian !!! msaada... then kama kuna player ya simu inaweza kuplay .kmv na .webm msaada na hzo pia!!!!

mkuu kama umesoma vizuri kwa mbele metoa instruction click Скачать kudownload.

Ni .kmv au mkv? Nafkiri coreplayer inaplay webm sina uhakika
 
Naomba msaada, je game la drafti linaitwaje? Pia wapi naweza kulishusha zima kwa ajili ya Nokia E61i. Nasubiri msaada wako.
 
ovi tumia keyword hii ''checker'' kupata game la draft
 
.webm imeshndwa kusoma mkuu!! hata total conveter ya kwenye pc yangu anakataa ku convert!! Cjajua n kwa nn????
 

thank you soooooo much
 
unaweza fanya option hizi

1) usubirie sa 5 usiku utumie airtel

2) jiunge airtel boom club

3) tumia trick za voda both pc na mobile zipo humu jf

mkuu chief-mkwawa trick za voda kama sijazisoma nimezicheki kama sijaona ivi naomba link.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naweza kupata mig33 kwenye iphone
 
Mkuu naweza kupata mig33 kwenye iphone

Hakuna app ya mig33 katika ios. Ila unaweza ukatumia mig33 web version kwa kutumia UC browser ambayo inafunguka as a desktop application
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…