Mobile Security for Nokia Phones

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
710
Waungwana

Tatizo la wizi wa simu limekuwa SUGU kwa muda mrefu sana.

Je, wapi kuna solution ya mobile security kwa Nokia phones, especially the Nokia X series, kama vile X2-00, 01, 02 na 03, au zile za X3-XX? Na vile vile kuhusu Nokia Asha series?

Najua Samsung wanajitahidi kuwa na proprietary Mobile Security software, baadhi ya simu za Samsung zina Mobile Security apps, ambazo una-program, kisha kama simu yako inaibiwa, unakuwa umeweka password/pin ambayo hata aki-flash haitoki. Inakuwa inakutumia ujumbe wa simu na kukuambia wapi alipo mwenye simu yako, anatumia namba gani, n.k.

Je, nani mwenye solution?


Mwisho, kwa nini Nokia X2-02 haifanyi kazi kwenye WhatsApp?
 
X2-02 haisupport sis au sisx applications,ni java tu powered ndivyo ilivyotengenezwa. Haujafanya uchunguzi tu wa kutosha,app kama hizo zipo, nyingi tu,most are for sale. Mobile security wengi wana target smart devices, sababu, ni expensive,zina functionality nyingi, inbuilt gps na data,sidhani hata wewe mwenyewe unaweza vumilia kupoteza simu ya laki saba,ila simu kama hiyo ya laki, labda na nusu.ikipotea waweza pata nyingine.mainly inahifadhi message tu na contacts,ndo maana utakuta hata wanaotengeneza hizo security software wana target smartphones.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…