Kutengeneza profile ya internet kwa simu za Samsumg ni rahisi sana,dk1 tu. Sijui mfumo wa hiyo simu ila unaweza kwenda kwenye settings, upande wa internet settings (sina hakika itakiwa imeandikwaje), ukifika huko press option-add new (profile), kwenye profile name andika "internet" na kwenye APN andika "internet". Kote usiweke fungua/funga semi. Baada ya hapo save then activate. Tumia internet.