wakati mwingine kabla hamjafanya maamuzi ya kununua simu muwe mnafikiria pia swala la radiation likoje na je simu ninayokwenda kununua ina kiwango gani cha radiation.
rahisi ya ghali simu yenye kiwango kikubwa cha radiation ina madhara makubwa sana kwako na especially kwa watoto ambao mara nyingi hupenda kuwapa simu waongee na ndugu jamaa na marafiki. Kwa maelezo zaidi tembelea hapa What's your cell phone's maximum radiation level? Interactive database - Computerworld
Kumbuka rahisi ya ghali chukua tahadhari epuka sana simu za kichina ambazio hata kwenye list hazipo.