Habar za kazi wadau, Hivi haya makampuni ya simu za mikononi yanaweza kutoa taarifa kwa mteja akiitaji kujua taarifa ya account yake ya pesa kama wanavyofanyiwa wenye account kwenye mabenki?
Taarifa gani? Kama Ni hizi ndogo ndogo unaweza ndio ILA wanachaji hela kama sh 50 hv. Mfano kwa tigo pesa kuna menu imeandikwa account yangu ukiingia hapo utakuta huduma ya aina hio
Taarifa gani? Kama Ni hizi ndogo ndogo unaweza ndio ILA wanachaji hela kama sh 50 hv. Mfano kwa tigo pesa kuna menu imeandikwa account yangu ukiingia hapo utakuta huduma ya aina hio
Unapata lakini za siku zote hizoo am not really sure.. Watakupa za siku kadhaa hata week zinaweza kuja maana inakuaga ni sms moja tuu yenye hizo taarifa... Sasa kama za siku 60, Hiyoo sms itakuaje mkuu.