Ukisema ufate ofisi za makampuni makubwa utafel. Panga chumba kulingana na uwezo wako. Anza kidogokidogo kwa sababu ndo unaanza ila kama una mpunga panga sehem kubwa. Kuna maghorofa mengi tu kama upo dar usiwe na kodi chini ya 550,000. Kata partition zako au idesign ofisi vile ww unataka, ajiri watu anza kaziHabarini za humu wadau,Mimi ni mobile app developer based on android...Nimekuwa nikifanya developments za apps zangu nikiwa nyumbani ila sasa hivi nataka nitoke home niwe japo naenda ofisini..Naombeni ushauri wenu jinsi ya kumiliki office inayodeal na mambo ya mobile apps kuanzia gharama,location na vitu vingine...au pia mfano wa makampuni yenye office zinazodeal na mobile apps kwa hapa bongo
Ukisema ufate ofisi za makampuni makubwa utafel. Panga chumba kulingana na uwezo wako. Anza kidogokidogo kwa sababu ndo unaanza ila kama una mpunga panga sehem kubwa. Kuna maghorofa mengi tu kama upo dar usiwe na kodi chini ya 550,000. Kata partition zako au idesign ofisi vile ww unataka, ajiri watu anza kazi
Unajua lazma ujue hiyo ofisi unayofungua unahitaji kua na wafanyakazi wangap, wewe na watu wangap. Ili ujue ukubwa wa ofisi unayotaka. Ila kwa watu wanaofanya kazi kama zako hasa wanapoanza hua wanaanza na ofisi ndogo tu. Upo mkoa gan kwanzaNdo maana nimekuja humu...naamini kuna watu wana companies zao za apps
Unajua lazma ujue hiyo ofisi unayofungua unahitaji kua na wafanyakazi wangap, wewe na watu wangap. Ili ujue ukubwa wa ofisi unayotaka. Ila kwa watu wanaofanya kazi kama zako hasa wanapoanza hua wanaanza na ofisi ndogo tu. Upo mkoa gan kwanza
Unategemea kuajil wangapDar es salaam
Basi hujajipanga endelea kukaa tena. Nyumbani. Una plan ya kufungua ofisi mpaka ss hujajua ntakua wangapi ofisin bas ww bado sana. Panga tu chumba ki1 kaa mwenyewe mbele ya safar utajua uongeze mtu yupi. Jitahid tu pavutie kidogoBado sijafikiria idadi
Basi hujajipanga endelea kukaa tena. Nyumbani. Una plan ya kufungua ofisi mpaka ss hujajua ntakua wangapi ofisin bas ww bado sana. Panga tu chumba ki1 kaa mwenyewe mbele ya safar utajua uongeze mtu yupi. Jitahid tu pavutie kidogo
Niliwahi ona ofisi ya dudumizi(nadhani utakuwa unamjua) wakati niliendaga kwenye interview ya shirika la Reach for Change maeneo ya tegeta nimeona ana lichumba likubwa. Maana ofisi zao zinatazamana kwenye kagorofa kamojaDar es salaam