Nina siku ya tano toka nianze jifunza kutumia Adobe Illustrator..
Hii picha nimeichora kwa kutumia pen tool kutoka kwenye picha ya mdada falni from google.
Jambo ambalo linanittiza sana ni kutumia grdients ili kule shadows na textures pamoja na effect za mwanga hapo bado kabisa ninagota.
Mwenye maelezo rahisi ninaomba