Mo xtra kinywaji kipya

Hakika utakufa na mavumbini utarudi
 
Mo wameamua kuachana na mo energy wamekuja na hiyo mo extra ambayo haina caffeine na ndio maana haijapanda bei
haina caffeine? mbona kwenye hiyo chupa caffeine imeandikwa
 
kama ni engelishe sifungui link bora nipige mora extera kumi
 
Watakua wamebadili label tu. Kuna kitu watu wengi hawafahamu au hawajui... Energy drink haiupi mwili nguvu, energy drink inachochea mwili kutengeneza au kuzalisha nguvu kupitia ingredients iitwayo CAFFEIN ambayo inapatikana pia kwenye kahawa. Sasa kusema inanguvu mara mbili mayb wameongeza kiwango cha caffein ambayo mm siamini coz kiwango cha caffein kipo regulated. Chukua chupa ya zamani soma kiwango cha caffein na sugar kilichopo then linganisha na kilichoandikwa kwwnye hiyo chupa mpya...achana na maneno ya mangi.
 
Tunakoelekea wanywaji was vinywaji visivyo na kilevi watakuwa na matatizo sana kuliko sisi walevi🍻🥃
 
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Kila siku tunabadilishiwa sumu hii na tunaletewa sumu ile, tuna wasomi wenye phd lkn wanashindwa kuueleza umma kuwa hivi vinywaji si salama na ni hatari kwa afya zetu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…