Hiyo mo Xtra ulipoitumia uliionaje inakupa nguvu na uchangamfu kuliko mo energy au tupe feelback mkuuNimeingia Dukani kwa mangi kununua mo energy mangi akanipa kinywaji kimeandikwa mo xtra nikamwambie naitaji mo energy .. akaniambia hii ndo Mpya sasa nainanguvu mara mbili kuliko mo energy ya zamani ikabidi nichukuee nimeichiki kwenye instagram kwenye page yao metl_group sijaona tarifaa kuhusu hiki kinywaji nimeingia google napo hakuna tarifaa zake ... View attachment 1095557View attachment 1095559View attachment 1095560View attachment 1095561
Kabisa mkuu mimi ni teja wa mo energy
Dah aisee kama ni kwelii imepanda haya ni majanga ila bora ipande bei kuliko kukosekana wengine tushazizoea jmn hizi energy ni shida i think iyo xtra sio nzuri kama energy zenyeweCaffeine inayotumika kutengeneza enegry ikiwemo mo energy bei yake imepanda maradufu kwenye soko la dunia ndio maana A-one(melt) wametoa hiyo mo extra kama mbadala wa mo energy sahabu hii ya sasa haina caffeine... Ilikuwa either waendelee kuzalisha mo energy afu zije kuuzwa bei juu(nmesikia ingekuwa zaidi 1000Tshs) au watengeneze hiyo mo extra afu bei elekezi ibaki 500Tshs
Hivo ni suala la muda tu kama bei ya caffeine itabaki kuwa juu kama ilivo sasa basi tutalajie energy drinks zote(power ya sayona, turbo ya afya au afiya, power gold ya sippy, energy ya cocacola na energy ya azam) zinazozalishwa Tz nazo either zipande bei au nao waelekee kwenye mwelekeo wa mo extra ya A-one(melt)
Hao wengine wanaweza wakachukua muda kufuata muelekeo wa A-one sababu wanaweza wakawa bado wanamzigo mkubwa store au bado wana caffeine ya kutosha
Mo wameamua kuachana na mo energy wamekuja na hiyo mo extra ambayo haina caffeine na ndio maana haijapanda beiDah aisee kama ni kwelii imepanda haya ni majanga ila bora ipande bei kuliko kukosekana wengine tushazizoea jmn hizi energy ni shida i think iyo xtra sio nzuri kama energy zenyewe
Unakuta umeandika hivi halafu ni kadau ka kahawa na bia.Nawashangaa sana watu wanaopaparikia hizi energy drink...
Without knowing unajitengenezea uteja ambao huwezi kuuacha.