Sheinzy zako sana sana mpaka ushangaeHapo Ni sawa na kuambiwa Kama kweli wewe ni mwanamke achia kweli rinda litatuliwe.
Kama wanaume wanaomba kutiwa mimba na Mayele huu si ni zaidi ya wehu!MIONGONI MWA BAHATI MBAYA DUNIANI NI KUISHABIKIA YANGA SABABU NI LAZIMA UWE MWEHU.
tulikuwa hatujui bhana,Kama Simba inataka ifanye vizuri na ibebe vikombe vya ndani na nje sajili hawa kama wewe mwanaume tajiri
Wanaoitwa na kucheza timu za Taifa za
Afrika
1,Senegal
2,Ivory Coast
3,Nigeria
4,Cameroon
5,Mali
6,Burkinafaso
7,Angola
8,Ghana
9,Morocco
10,Tunisia
11,Algeria
12,Libya
13,Egypt
America
1,Colombia
2,Ecuador
3,Chile
4,Argentina
5,Brazil
6,Paraguay
Asia
1,South Korea
Usajili tofauti na hapo ,hakuna tofauti ya waliopo na watakao kuja
Kuendeleza mali za urithi si mchezo.Si ajabu mimi na wewe tumeshindwa ila yeye ameweza (na blacks wengi tunafeli sana eneo hilo).Uyo ponjoro msimamizi wa mali za familia hawezi poteza pesa kihivyo
Walaumu wazazi wako kuwa masikiniUyo ponjoro msimamizi wa mali za familia hawezi poteza pesa kihivyo
Silaumu mwenyeweWalaumu wazazi wako kuwa masikini
Kuendeleza mali za urithi si mchezo.Si ajabu mimi na wewe tumeshindwa ila yeye ameweza (na blacks wengi tunafeli sana eneo hilo).
Anastahili pongezi badala ya kejeli. Familia zote kubwa na tajiri duniani kama the Rockfellers au the Rothschilds wanaishi kwa kuendeleza mali za urithi. Sisi tunachoweza ni kuendeleza majungu na chain ya umasikini.
Hili ndilo kosa la baba Kufa akiwa masikini wa kutupwa ukakosa urithi wa angalau hata kigoda. Kilichobaki ni chuki kwa matajiri utafikiri mo alimzuia babako kutafuta pesa .Uyo ponjoro msimamizi wa mali za familia hawezi poteza pesa kihivyo
Pole aisee! Umeongea kwa uchungu mno, kosa sio lakoHili ndilo kosa la baba Kufa akiwa masikini wa kutupwa ukakosa urithi wa angalau hata kigoda. Kilichobaki ni chuki kwa matajiri utafikiri mo alimzuia babako kutafuta pesa .
Tafuta pesa ndg acha roho ya wivu , majungu , chuki na husuda zisizo na Maana kwa wenye pesa zao.