Mkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!Mkuu acha ramli chonganishi
Presha imepandaAlipo kuwa Mbunge wa Singida ulikuwa hujazaliwa bado!?
Umekua wakwanza ku comment alafu ukachapia [emoji1787]siasa za maki taka
Alikuaga mbunge wa Singida lakini, KUMBUKIZIKua tajiri sio kua mwanasiasa. Mo Dewj hawezi siasa, na ni mwepesi sana sidhani kama atagombea.