Sawa tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SASA WATU NDIO WAELEWE KUWA MO anatamani sana AIMILIKI SIMBA.. ANATAKA KUTUMIA JINA LA SIMBA SPORTS CLUB ili kupiga mishe zake kibiashara..
Ko unataka kusema TFF watakataa kwa sababu hawawezi kuzuia rushwa Kwenye michezoKuwa na timu ambayo haiwezi kupanda daraja ni kukalibisha corruption yaani they have nothing to play for.., nini kinawakataza kuchukua mlungula kwa baadhi ya timu na kuwaachia na nyingine kukaza buti.., thus kuchangia nani apande na nani asipande..,
This is the next levelMbona n kawaidah sana kwenye team nyingi barani uraya
mishe gani labda kwa mfano?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SASA WATU NDIO WAELEWE KUWA MO anatamani sana AIMILIKI SIMBA.. ANATAKA KUTUMIA JINA LA SIMBA SPORTS CLUB ili kupiga mishe zake kibiashara..
Hela inamsumbua Kanjibai. Sasa Gala ya kutembeza bakuli ya nini? Kisa mlinzi kutaka kuitwa watchman badala ya korokoloniMWEKEZAJI wa Simba,
Mohamed Dewji amesema
watapeleka maombi yao
Shirikisho la Soka nchini ili
kununua timu ya daraja la
kwanza. Timu hiyo itakuwa na wachezaji
wanaotoka timu yao ya vijana ya
Simba na endapo watakubaliwa
watakuwa na timu itakayoitwa
Simba lakini ikishiriki Ligi Daraja la
Kwanza. Mo Dewji amesema endapo timu
hiyo itafanikiwa kupanda daraja
hawataipandisha Ligi Kuu kwank
sheria haitawaruhusu kuwa na
timu mbili ligi kuu zenye jina moja.
"Lengo ni kutoa burudani zaifi kwa mashabiki wetu na kuweka
ushindani mkubwa katika soka,
tukikubaliwa tutanunua timu na
itaitwa Simba ila itashiriki ligi
daraja la kwanza.
"Hatutairuhusu kushiriki ligi kuu hata kama itapanda kwani sheria
hazitaruhusu, tutatoa burudani
huku huku chini," amesema Mo
Dewji.
Anataka kututengenezea sharia za kuendesha moira hapa Tz eti eehHii ni nzuri kwa afya ya soka maana italeta conflict of interest,
Kombe kama la FA hapa hushirikisha timu za ngazi zote,
Itakuaje kama Simba atakutana na hiyo timu? Kama anataka timu basi aachane na Simba kwanza then amiliki hiyo timu
Vitu vingine viko wazi havihitaji uwe na uelewa wa soka
Watamuelewa tu mzee Kilomoni watulize mishono.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SASA WATU NDIO WAELEWE KUWA MO anatamani sana AIMILIKI SIMBA.. ANATAKA KUTUMIA JINA LA SIMBA SPORTS CLUB ili kupiga mishe zake kibiashara..
Wewe ndio hujaelew kituMo watu waliomzunguka vilaza..hiyo hela ya kununua timu angejenga academy ...akusanye Vijana robo tatu wabongo na robo kutoka Africa nzima..baada ya miaka miwili itaanza kumlipa...