Mo hapoi wala haboi huko Simba.....

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,895
Reaction score
12,197


Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.
 
Me ni mshabiki wa Simba ila hii kauli aliyoongea mo naikataa kwa asilimia 💯 hiv mo anaweza kumsajili Messi?hapa Africa kwenyewe kashindwa kumpata Jackson Muleka wa Tp Mazembe ambaye usajili wake si chini ya 1Billion na mshahara wake si chini ya million 80
 
mwana simba tumia akili basi,haaa haaa
 
nikweli hapoi wala haboi simba nguvu moja
 
Kuna Balotelli alisema yupo tayar kuja kukupiga Africa na pesa kwake sio tatizo
 
Acha utoto wewe, hivi kuna kocha simba anaweza kusema anamtaka messi? Amesema watasajili kama kocha atamuhitaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…