Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter ameweka picha ya mwaka 2017 yenye logo ya timu ya Juventus halafu leo a anadai eti yupo Italy jambo ambalo si kweli!
Tapeli huyo. Hata utajiri ni Baba yake sema yeye kapewa asimamie mali ya familia. Kanapenda kaonekane matawi ya juu haka ka Mo. Yaani kupiga picha nje ya jengo la Juventus ndo anasema anajadiliana ππππ.