Mo Dewji kaiva kwenye fitna za Kariakoo Derby

BUDANOV

JF-Expert Member
Apr 19, 2023
2,831
4,332
Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.

Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.

Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya wale wazee wa fitna na kuhakikisha Simba inatawala soka la ndani Tanzania kwa miaka 4 mfululizo mpaka wale wazee wa mwiko nyuma fc watie adabu.

Sasa makundi ndani ya Simba basi poleni sana majirani Nilipata wasaa kukaa na mzee mmoja lia lia na mnazi wa mwiko nyuma fc alianiambia kabisa November 5 wanakufa kabisa bila ubishi tena inawezekana yakajirudia yale ya 2012.
 
Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.

Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.

Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya na kuhakikisha simba inatawala soka la ndani Tanzania kwa miaka 4 mfululuzo mpaka wale wazee wa mwiko nyuma fc watie adabu.

Nilipata wasaa kukaa na mzee mmoja lia lia na mnazi wa mwiko nyuma fc alianiambia kabisa november 5 wanakufa kabisa bila ubishi tena inawezekana yakajirudia yale ya 2012.
Endeleeni na fitna za ndani mtabaki kufa kiume kenge nyie
 
Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.

Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.

Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya wale wazee wa fitna na kuhakikisha Simba inatawala soka la ndani Tanzania kwa miaka 4 mfululizo mpaka wale wazee wa mwiko nyuma fc watie adabu.

Sasa makundi ndani ya Simba basi poleni sana majirani Nilipata wasaa kukaa na mzee mmoja lia lia na mnazi wa mwiko nyuma fc alianiambia kabisa November 5 wanakufa kabisa bila ubishi tena inawezekana yakajirudia yale ya 2012.
Kwani unadhani yanga nae Hana hao watu wa fitna?

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ya 2012 yalikuwa yanatisha sana mkuu.

OGOPA SANA WALE WATU WAKIUNGANA NA KUJIITA NGUVU MOJA.

images (2) (1) (1).jpeg
 
HII YOTE NI AFRICAN SOCER SHOW
MPIRA WETU KIVYETU VYETU.

hawa wazee watakuwa na maamuzi makubwa , Watapiga sana pesa. Na hakuna timu itafanikiwa dhidi simba mbaka uchaguzi ujao.

1. Tuseme tu ukweli simba ikiwa pamoja hakuna timu inaweza ikapata hata sare kwa mkapa.
Eg RAJA na Alhly

2. Ogopa sana KAULI MBIU YA NGUVU MOJA.

3. Mo ameona matokeo si mazuri ndani na nje ya Klub mambo hayaendi kabisa (kukosa ubingwa 2 years)

4. Haya majeraha ya mala kwa mala ya wachezaji muhimu Manula Inonga, phiri aubin Kramo si kitu cha kawaida (gizani).

5.Sajili mbovu na kufungwa giza kwa Baadhi ya wachezaji.
Ayoub,Kramo,Saido,Miqui nk.

6. Baadhi ya wazee wanavyoamini wao wanasema wamepeleka mpira wa simba jangwanj kwasababu ya majeraha ya vyeo na makovu ya chaguzi.

Kama hawa wazee wote walioteuliwa wakikubaliana NGUVU MOJA.
Kila kitu simba kitakwenda sawa yatarudi yale ya Ubingwa mala 4 mfululizo.
Itarudi simba ya Biriani na lunyasi.

TUTEGEMEE SIMBA YENYE MAFANIKIO ZAIDI.
Quote
 
Back
Top Bottom