Mo Dewji huu ujumbe umfikie nani?

Mhh!! Hapa anamwambia mwenyekiti wa zamani wa timu yetu ya wananchi. Bilioni 25 parefu pale.
 
Anamchana mwenyekiti mstaafu wa lumumba mkutano wa 6 mzee lodilofa mmiliki wa ngurdoto na impala.
Mkuu nikurudishe nyuma kidog..mmiliki wa ngurudoto na impala ni nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…