😆😅😄😄😃😃😂😂😁😀😁😁😀😀Sisi kama mashabiki tunachokitaka ni,,,,, timu kushinda makombe ambayo yapo, wachezaji kulipwa mishahara ambapo hatujasikia hata mmoja akidai, timu kufanya vizuri kimataifa ambapo hakuna asiejua juu ya hili,, hizo porojo nyingine tumewaachieni nyie uto, eti mnaibiwa na mo,, we usiebiwa pale utopoloni tuambie kwa mwezi unapokea sh ngapi?
[emoji1787]imeisha hiyo[emoji38][emoji28][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji23][emoji28][emoji38][emoji28]
Kwenye Kuelewa Kaelewa
Safi sana kwa jibu ulilompa hata yy akitaka aende pale awekeze aiibie club maana ukimuuliza katika club anayoishabikia hata kwa mwezi elfu moja anatoa?Sisi kama mashabiki tunachokitaka ni,,,,, timu kushinda makombe ambayo yapo, wachezaji kulipwa mishahara ambapo hatujasikia hata mmoja akidai, timu kufanya vizuri kimataifa ambapo hakuna asiejua juu ya hili,, hizo porojo nyingine tumewaachieni nyie uto, eti mnaibiwa na mo,, we usiebiwa pale utopoloni tuambie kwa mwezi unapokea sh ngapi?
Kwaiyo izo pesa zikiingia simba sisi mashabiki tutakua tunagawiwa au ? Shida si team iwe na wachezaji bora? Si team iwe na miundomino mizuri? Wachezaji na benchi la ufundi si wana lipwa vzr? Team si inashinda mataji?😆😅😄😄😃😃😂😂😁😀😁😁😀😀😃😃
Mwenye Kuelewa Kaelewa
Nenda kamdaiKwa kipindi chote alichotoa B21, klabu ya Simba imeingiza kiasi gani?
Zile fedha za kadi za mashabiki zilienda wapi?
wewe ulitaka ziende wapiKwa kipindi chote alichotoa B21, klabu ya Simba imeingiza kiasi gani?
Zile fedha za kadi za mashabiki zilienda wapi?