Tayari Mo Dewji amepeleka mapendekezo kwenye bodi ya udhamini kutaka kujenga uwanja kwe uwanja wa Bunju. Simba imepata katiba mpya ambayo inataka mchakato wa uwekezaji uanze upya baada ya logo ya Simba ithaminiwe upya kupata thamani halisi ya Simba.
Pia imeondoa neno mwekezaji na kuwa wawekezaji. Mwenyekiti wa Simba ndio kuwa mwenyekiti wa Bodi.
Badala ya Mo Dewji kusubiri mchakato ukamilike tayari amepeleka mapendekezo kwenye bodi ya udhamini ya kutaka kujenga uwanja kwa masharti ambayo hayajawekwa wazi.
Kuna hatari akajenga uwanja ambao utakuwa kama uwanja wa Arusha kwa kuweka gharama ambazo haziendani na uhalisia ili awe na nguvu ya kuwacontrol pale mchakato ukianzA.
Wito wangu kwa mo Dewji asubiri mchakato ukamilike kwani kwa mujibu wa katiba mpya kiwanja cha Bunju na jengo la Msimbazi ni mali za wanachama haziguswi.