Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
khaaa! We ni mzee kweli? Mbona nilichoitaji na unachojibu ni tofauti? Au hujasoma nilichoandika?Nakutuma:
ukimwona, mwambie awe makini na matamko yake, yatamwaibisha baadae.
khaaa! We ni mzee kweli? Mbona nilichoitaji na unachojibu ni tofauti? Au hujasoma nilichoandika?
Habari yenu jamaa! Ninashida kubwa sana ya kuonana na mbunge wangu wa ubungo ndugu John Mnyika sijui nitamwonaje? Kwa mwenye mawasiliano nae naomba unisaidie nionane na mheshimiwa. Namba yangu0716307470
Nakutuma:
ukimwona, mwambie awe makini na matamko yake, yatamwaibisha baadae.
wewe sio mzee tuu, bali ni mwendawazimu uliyerukwa na akili, chuo umefeli(umedisko udom) hata mbwa hawezi fuata maelezo yako. Stupid!
we mwita mbona hivyo tena? Kum-pm ndo nin? Na huo mlolongo mbona mrefu? Tafadhal nisaidie ndgu.Jaribu kum-PM ili akuunganishe na Slaa ili akuunganishe na Tundu Lissu ili akuunganishe na Anna Makinda ili akuunganishe na John Mnyika ili akutatulie mahitaji yako.
mie nlijarib kumvumilia kwan ni mzee ila amekuelewa ndo maana kakushukuru"wewe sio mzee tuu, bali ni mwendawazimu uliyerukwa na akili, chuo umefeli(umedisko udom) hata mbwa hawezi fuata maelezo yako. Stupid!
khaaa! We ni mzee kweli? Mbona nilichoitaji na unachojibu ni tofauti? Au hujasoma nilichoandika?
wewe sio mzee tuu, bali ni mwendawazimu uliyerukwa na akili, chuo umefeli(umedisko udom) hata mbwa hawezi fuata maelezo yako. Stupid!
Habari yenu jamaa! Ninashida kubwa sana ya kuonana na mbunge wangu wa ubungo ndugu John Mnyika sijui nitamwonaje? Kwa mwenye mawasiliano nae naomba unisaidie nionane na mheshimiwa. Namba yangu0716307470
Nakutuma:
ukimwona, mwambie awe makini na matamko yake, yatamwaibisha baadae.
nilifika apo bamaga lakin itv sikufika hivyo sikumuona je alikuwa anafanyaje? Ww unamacho ila akil unatumia za jirani.hukumuona jana ITV?
au hauna macho?
Hivi watu wengine mnaonaga raha tuu kutukana watu ovyo ovyo?Mtu angalau angekuprovoke tungesema labda lakini wapi Mzee wa watu kakupa tu maagizo kama ukifanikiwa kumpata Mnyika.Na si lazima ulikuwa na hiari ya kukataa au hata kumpuuza usimjibu lakini ukaona haifai mpk uporomoshe mitusi?
Mtake radhi tafadhali tena sasa hivi..
Matamko yake yanaleta changamoto kwa vijana wanaofikiri si kilaza km wewe....unapenda matamko ya taarab kama ya Nape
nimeshawazoea.
Usisahau kumkumbusha kikwete kuhusu ahadi ya barabara za angani(flyovers) D'salaam, foleni zinakera sana.Halafu mwambie atekeleze ahadi yake ya maji Mbezi Msumi!