moja kati ya waliokuwa waongeaji wakubwa wa chadema ni john mnyika....ila siku za hivi karibuni amekuwa kimya sana tena tangu kuteuliwa na el kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho....hata kwenye mikutano ya chama hicho tunamuona sio yule aliyekuwa akiwa na fujo hasa pale linapotamkwa neno pipozzzzz ..bavicha mtueleze huyu ni kiongozi wetu tunahitaji kujua au ndo kapigwa benchi...
Leo mabasi yote ya Dar express na Mtei express ya huku Arusha yamekodishwa na Lowassa na team yake kupeleka watu Dar bure go and return kwa ajili ya mkutano wa kesho jangwani. Watalipiwa pia malazi na chakula kwa siku hizi mbili yani leo na kesho. Mwaka huu tutashuhudia mengi, hizo pesa zote sijui zitarudishwaje.
#kataafisadikwendaikulu
Mnyika alidai ana Ushahidi wa Ufisadi wa Lowasa, Sijui bado anao?
Ameshtukia kuwa chadema ni mradi wa Mtei & Co Ltd