Wengi tunatambua na kuukubali uwezo wa kisiasa wa John Mnyika. Alipoingia bungeni tuliamini kuwa ndiyo chance ya kufaidi zaidi uwezo wa kijana mwenzetu. Miezi kadhaa, sasa kijana anafanya vizuri, lakini mimi namwambia sasa aende mbele zaidi, na atafikia kiwango.
"Nina ushahidi kuwa baadhi ya maofisa wa serikali wamepewa rushwa kuhusiana na sakata hili la mafuta"... Ni kauli ya Mnyika jana bungeni. Mh. Mnyika naamini sasa kwa ukomavu wako hukutakiwa sentensi hiyo uimalizie hapo, bali uliitakiwa uwataje kwa majina waliotoa na kupokea hiyo rushwa, kiasi kilichotolewa, na ikiwezekana siku na mahali. Hicho ndicho kiwango cha ujasiri alichonacho mwenzio Mh Zitto, tokea alipodhihirisha hivyo katika lile sakata la Karamagi.
Mh. Mnyika uwezo unao, na tunategemea utakuwa mchezaji muhimu katika vita hii dhidi ya ufisadi. Naamini hadi sasa umeshajua namna ya kupambana na risks za kuwavaa mafisadi. Game bado ni mbichi, na kwa sasa bado inamtegemea sana Zito peke yake. Tumeona jinsi maveterani walivyoanza kuchoka; kina Kilango, Ole Sendeka, Lembeli nk. Kupotea kwa akina Kimaro na Selelii kumesababisha timu kupwaya sana.
Ni matumaini yangu kuwa kwa sasa vijana wakiongozwa na Mnyika wata-cope mapema na kumpa taf Zito. Nisisahau kumpa big-up Kafulila ambaye naye anaonekana kung'ara kwa haraka sana katika hili game. Keep it up Kafulila. Kazi nzuri pia inafanywa na ndugu yangu Wenje.
Mnyika, please step ahead, and you will be at that level we need...

mkuu hujasomeka vizuri. una maanisha nini kwenye red?mnyika alinganishwi na zitto analingwanishwa tu nyerere.halafu na nyinyi wengine amuoni kuna vijana wengine machachari kama mchali,kafulila,wenje,filopo njombe,mchungaji msingwa na mkosamali.
Hoja si kuwataja, hoja ni kwamba kuna rushwa kubwa kwenye sekta hii ya mafuta. cha msingi nyie si mna TAKUKURU YENU - wapo vijana wengi tu wanapokea mshahara hawana kazi ya kufanya, wamfuate mh. Mnyika awape data then muone kama watamkamata na kumfikisha mtu mahakamani.Wengi tunatambua na kuukubali uwezo wa kisiasa wa John Mnyika. Alipoingia bungeni tuliamini kuwa ndiyo chance ya kufaidi zaidi uwezo wa kijana mwenzetu. Miezi kadhaa, sasa kijana anafanya vizuri, lakini mimi namwambia sasa aende mbele zaidi, na atafikia kiwango.
"Nina ushahidi kuwa baadhi ya maofisa wa serikali wamepewa rushwa kuhusiana na sakata hili la mafuta"... Ni kauli ya Mnyika jana bungeni. Mh. Mnyika naamini sasa kwa ukomavu wako hukutakiwa sentensi hiyo uimalizie hapo, bali uliitakiwa uwataje kwa majina waliotoa na kupokea hiyo rushwa, kiasi kilichotolewa, na ikiwezekana siku na mahali. Hicho ndicho kiwango cha ujasiri alichonacho mwenzio Mh Zitto, tokea alipodhihirisha hivyo katika lile sakata la Karamagi.
Mh. Mnyika uwezo unao, na tunategemea utakuwa mchezaji muhimu katika vita hii dhidi ya ufisadi. Naamini hadi sasa umeshajua namna ya kupambana na risks za kuwavaa mafisadi. Game bado ni mbichi, na kwa sasa bado inamtegemea sana Zito peke yake. Tumeona jinsi maveterani walivyoanza kuchoka; kina Kilango, Ole Sendeka, Lembeli nk. Kupotea kwa akina Kimaro na Selelii kumesababisha timu kupwaya sana.
Ni matumaini yangu kuwa kwa sasa vijana wakiongozwa na Mnyika wata-cope mapema na kumpa taf Zito. Nisisahau kumpa big-up Kafulila ambaye naye anaonekana kung'ara kwa haraka sana katika hili game. Keep it up Kafulila. Kazi nzuri pia inafanywa na ndugu yangu Wenje.
Mnyika, please step ahead, and you will be at that level we need...

mkuu hujasomeka vizuri. una maanisha nini kwenye red?

sasa hujaelewa nini,wewe kilaza?
Wengi tunatambua na kuukubali uwezo wa kisiasa wa John Mnyika. Alipoingia bungeni tuliamini kuwa ndiyo chance ya kufaidi zaidi uwezo wa kijana mwenzetu. Miezi kadhaa, sasa kijana anafanya vizuri, lakini mimi namwambia sasa aende mbele zaidi, na atafikia kiwango.
"Nina ushahidi kuwa baadhi ya maofisa wa serikali wamepewa rushwa kuhusiana na sakata hili la mafuta"... Ni kauli ya Mnyika jana bungeni. Mh. Mnyika naamini sasa kwa ukomavu wako hukutakiwa sentensi hiyo uimalizie hapo, bali uliitakiwa uwataje kwa majina waliotoa na kupokea hiyo rushwa, kiasi kilichotolewa, na ikiwezekana siku na mahali. Hicho ndicho kiwango cha ujasiri alichonacho mwenzio Mh Zitto, tokea alipodhihirisha hivyo katika lile sakata la Karamagi.
Mh. Mnyika uwezo unao, na tunategemea utakuwa mchezaji muhimu katika vita hii dhidi ya ufisadi. Naamini hadi sasa umeshajua namna ya kupambana na risks za kuwavaa mafisadi. Game bado ni mbichi, na kwa sasa bado inamtegemea sana Zito peke yake. Tumeona jinsi maveterani walivyoanza kuchoka; kina Kilango, Ole Sendeka, Lembeli nk. Kupotea kwa akina Kimaro na Selelii kumesababisha timu kupwaya sana.
Ni matumaini yangu kuwa kwa sasa vijana wakiongozwa na Mnyika wata-cope mapema na kumpa taf Zito. Nisisahau kumpa big-up Kafulila ambaye naye anaonekana kung'ara kwa haraka sana katika hili game. Keep it up Kafulila. Kazi nzuri pia inafanywa na ndugu yangu Wenje.
Mnyika, please step ahead, and you will be at that level we need...
Hoja si kuwataja, hoja ni kwamba kuna rushwa kubwa kwenye sekta hii ya mafuta. cha msingi nyie si mna TAKUKURU YENU - wapo vijana wengi tu wanapokea mshahara hawana kazi ya kufanya, wamfuate mh. Mnyika awape data then muone kama watamkamata na kumfikisha mtu mahakamani.
Ndugu yangu waliotoa na waliopokea rushwa hii si watu wadogo kama unavyofikiria wewe, hii nchi ndugu yangu iache kama ilivyo: Mh. John you have done your duty brother. achana na hawa waliotaka eti mpaka uwatajie majina ndiyo wahakikishe umewafanyika kazi ya uwakilishi wa umma.