Mnyika ni mbunge tayari

Sisi wana wa Kibamba tumeshanwambia mnyika akasaidie majimbo mengine huko kutangaza ilani ya ukawa hp atuachie sisi. Arudi 2 weeks before uchaguzi aje kuwind up tu! Ubunge ni wake tu!

Asante sana wana wa kibamba kwa kumrudisha tena bungeni kijana mnyika na sisi wa ubungo tunampeleka kubenea bungeni pia hatufanyi kosa
 

hapo tutakuwa na full ccm B hakuna ukawa ikiwa wanaukawa wanajitoa.
 
WEWE HUyo Mnyika wenu kafanya nini kule Ubungo? eleza hapa


Hakuna la maana mnyika alilofanya ubungo. Hakuweza kushirikiana na watu wake pale walipokuwa na shida na waliponyanyaswa na ccm alikaa mbali. Yeye kazi yake kupiga domo tuuuu barabarani lakini sio kutetea watu wake.

Kwa mfano.... kituo kilipovunjwa. wakazi wa terminal walipolia kufunguliwa maji machafu na kinyesi hakuonekana, walipotaka kunyanganywa ardhi eti ni wavamizi wa stand ya mkoa hakuonekana, na matukio mengi tuuu.

Mnyika ni mzuri kwenye upigaji wa debe la chama, sio kwa maslahi ya wananchi na hawatamuona jimboni hata siku moja, wataishia kumuona akipigana bungeni
 
Bado siku ngapi taraaang tarang!! tupige kuraa ..taraantaraaaaa!
 
Kama kura zinapigiwa jf. Basi mnyika ni mbunge tiari ila kama zinapigiw kwenye vituo vya kupigiwa kura napingana na hilo
 
Kama kura zinapigiwa jf. Basi mnyika ni mbunge tiari ila kama zinapigiw kwenye vituo vya kupigiwa kura napingana na hilo

Hapa siyo kituo cha kupigia kura hapa ni pahali pa kuelezana hali halisi ya mambo yanavyokwenda
 
CCM walitegemea magoli ya mkono na fedha za ESCROW ... sasa wanaona kila kitu kinakwenda mrama ..
 

Unalilia kitu gani? Tulia is ndano ikuingie vema maungoni ili dawa ifanye kazi
 
Siasa usiiwekee. %100. Utakujaa kufa. Kwa aibu. Hakuna linalo shindikana katika siasa. Na ingekuwa watu wote wanaimani kama yako basi hakuna mtu angepiga kampeni. Na hakuna sababu ya kufanya uchaguzi.
 

Mtajijua nyinyi magamba mwaka huu,ukawa ni mbele kwa mbele na kwa taarifa yako tu mkoa wa dsm wabunge wote ni ukawa
 
Siasa usiiwekee. %100. Utakujaa kufa. Kwa aibu. Hakuna linalo shindikana katika siasa. Na ingekuwa watu wote wanaimani kama yako basi hakuna mtu angepiga kampeni. Na hakuna sababu ya kufanya uchaguzi.

Mnyika tayari ni mbunge bado kuapishwa maana huyo anaye shindana naye ni sawa na zero
 
who cares??
By the way, mwulize Spika wa bunge la kumi

Wabunge wa CDM (UKAWA) walikuwa ni wabunge wa Taifa

Naunga mkono hoja kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…