Sisi wana wa Kibamba tumeshanwambia mnyika akasaidie majimbo mengine huko kutangaza ilani ya ukawa hp atuachie sisi. Arudi 2 weeks before uchaguzi aje kuwind up tu! Ubunge ni wake tu!
Mama kabugi Sanaa
Mwaka huu CCM hawana bahati
Hapati ng'oooo miaka laki 8
Msimtetee huyo Mnyika ambaye alikimbia kule jimbo la Ubungo kwa kuwadanganya wanaubungo bila ya kufanya chochote kile, sasa anakuja kuwadanganya na huko, hahaha tena wala sio mbali hapo na Ubungo, HATUDANGANYIKI NG'OOO

mnyika wewe unashida gani hapa kibamba sisi tunakukubali toka enzi za mama anna makinda sasa hofu yako iko wapi...nenda kasaidie majimbo mengine ila after two weeks come back...wiki mbili zinatosha kutukumbusha ilani ya chama pamoja na nini utatufanyia miaka mitano ijayo....
peoooooooooplezzzzzzzzzzzzzz
ccm hatakama itakuja na doza hakiwezi kuzuia mabadiliko. Watanzania tuko vitani tukaze boot tusiyumbe hata kama lowasa atabaki pekeyake lazima tumpe kura..kukiondoa chama dola zio mchezo! Tutasikia mengi mno kwa maana dola ya kifisadi na rushwa inadondoka!
mabadiliko...lowasa...lowasa....mabadiliko
tumechoka kuendelea kuwa mateka wa ccm