Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Mh.Mnyika wakati wa kampeni ulinipa moyo sana mimi kama Mwanachama wa Chama Cha Democrasia na maendeleo.
Ulitutangazia kwamba kwasababu mwanasheria wetu Mabere Marando alikuwa mgonjwa basi wewe mwenyewe ungetutangazia matokeo.
Tunajua kama zoezi la kujumlisha matokeo lilivurugwa na kukamatwa kwa makamanda~Mungu awape nguvu na moyo.
Ila Mnyika mimi binafsi kama kamanda wako hujanitendea haki,tupe basi hata mrejesho jamani,tukubali yameisha turudi nyumbani tukalale au tuwe na mategemeo yoyote?
Ukimya wenu unatuua jameni!