Mnyika naomba mrejesho

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Mh.Mnyika wakati wa kampeni ulinipa moyo sana mimi kama Mwanachama wa Chama Cha Democrasia na maendeleo.

Ulitutangazia kwamba kwasababu mwanasheria wetu Mabere Marando alikuwa mgonjwa basi wewe mwenyewe ungetutangazia matokeo.

Tunajua kama zoezi la kujumlisha matokeo lilivurugwa na kukamatwa kwa makamanda~Mungu awape nguvu na moyo.

Ila Mnyika mimi binafsi kama kamanda wako hujanitendea haki,tupe basi hata mrejesho jamani,tukubali yameisha turudi nyumbani tukalale au tuwe na mategemeo yoyote?

Ukimya wenu unatuua jameni!
 
Maandamano na mikutano ya kisiasa marufuku sasa kila kitu weka kwenye mtandao wa chama chako!
 
Wenzako wanaenda kusaini posho, na kuapishwa ww bado unaota ndoto za kusadikika
 
Demokrasia africa ni shida mkuu.... mikutano hapana, maandamano hapana, talling hapana, mitandao -cyber law....

Hiyo iko wazi sana kiongozi,ndio maana Tukasema Lowassa ana maamuzi magumu.Yangehitajika wakati huu.

Sasa unafikiri wote tukiwa waoga tukakunzia mkia katikati ya miguu trend hii itakaa ibadilike.

Kwenye uchaguzi huu,vijana huko CCM wamejifunza kama demokrasia haina maana na CCM inaweza kuwa state party milele.Watakachofanya ni kupaangana foleni tu mpaka.

Yani mkuu,mimi ndio simwelewi Mbowe kabisa.Sijui ni uoga,sijui ni busara iliyopitiliza,siju ni nini!!
 
wewe kama ni jasiri jitokeze mkuu watakuunga mkono.
 
Ukumbuke ya kwamba Neno hapana huambiwa wapinzani tu! Kumbe upinzani Tanzania ni shida. kwa huku tunakokwenda basi mwishowe hata tukitongoza ukijulikana tu ya kwamba wewe ni mpinzani basi watakukatalia hapana! Ni afadhali nibakie Anonymous yasinikute!
 
wewe kama ni jasiri jitokeze mkuu watakuunga mkono.

Nchi inaongozwa kwa hofu,yani kathread ka maneno machache tu kanakulaza sero.
Kweli itafika mahali tutaelekezwa hata namna ya kuwaza.
 
Malezi mabaya na ya hovyo yatawaponza. Unawezaje kuandika fulani kauwawa kama yupo hai ajitokeze. Anajitokeza huna cha kusema,huombi radhi wala hukiri kudanganywa. Uachwe tu eti ndiyo demokrasia? Hapana .
 
Hiyo iko wazi sana kiongozi,ndio maana Tukasema Lowassa ana maamuzi magumu.Yangehitajika wakati huu.

Sasa unafikiri wote tukiwa waoga tukakunzia mkia katikati ya miguu trend hii itakaa ibadilike.

Kwenye uchaguzi huu,vijana huko CCM wamejifunza kama demokrasia haina maana na CCM inaweza kuwa state party milele.Watakachofanya ni kupaangana foleni tu mpaka.

Yani mkuu,mimi ndio simwelewi Mbowe kabisa.Sijui ni uoga,sijui ni busara iliyopitiliza,siju ni nini!!
Hatukumwaga damu wakati tunapata uhuru.... hatutamwaga damu wakati tunafanya mabadiliko ya kweli.... sio uwoga but mbowe and EL they are right.... tutapambana bila fujo maana wao wanaamini kwenye kuwapa case wapinzani na kuwapiga vijana.... mapambano yetu ni ya haki.... aliye juu... Mungu wa kweli kuna siku atatuangazia....
 
Angalau nikisikia hivi nafarijika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom