Haya mama ezan, jidanganyeni! kamwe mkaa na chokaa haviwezi kufanana. Mwananchi akiambiwa achague Chokaa ataiona tu, hata kama utaificha nyuma ya mkaa! Kwa taarifa yenu nyie Chi-Chi-Muizi, hao mliokataa wasije kupiga kura ndio waliongoza mabadiliko huko vijijini mlikowatupa! Mlikuwa mnafanya haraka kumwaga ugali mkajikuta mmemwaga na mboga! Mnahangaika kukaba jimbo la Ubungo, mmepoteza nyamagana, ilemela, iringa mjini, Arusha mjini na mbeya mjini. Mpo? Mliona ile nyomi ya vijana?Mlidhani imetoka wapi? Mliona walivyojitokeza kupiga kura? Mlidhani watakuwa washabiki tu kila siku? Someni alama za nyakati kwamba sasa ni dunia ya mabadiliko, na vijana wanataka kuongoza leo. Kwa kuanzia tumewatumia vijana wa kutosha bungeni kkutokana na uchaguzi huu, some more to come ifikapo 2015, baada ya hapa tunaanda operesheni sangara kama kumi hivi nchi nzima, tuone 2015 kama mtafua dafu! Na ole wenu mdondokaji wenu ateue mawaziri maswahiba wake wasio na weledi muone, kama angalizo imu yetu imejipanga mjengoni ikiongozwa na Tundu Lissu.....KAA CHINJO........!:hippie: