Mie naona adui mkubwa sii serikali hii fisadi ila ni wabunge wa CCM. kama wao wanawakilisha maslahi ya wNanchi waliowatuma inawHusu nini wao kumzomea mbumge mwenzao anayepigania maslahi ya Watanzania? Kisha kushangilia majibu ya kitoto ya serikali? Hebu hapo Dodoma na kwingineko tuwe na kauli mbiu moja , kila apitapo mbunge wa CCM azomewe na kuzodolewa kama wafanyavyo wao kwa watetea wananchi ndio watajitambua labda.
Hawawezi kukwamisha wokovu wa nchi yetu eti kwa kulinda heshima ya chama chao wakati hawakutumwa kazi hiyo. Mwisho tutawakatisha tamaa wapambanaji wakiona hawapati support ya raia. Nilimwangalia alivyo kuwa Mnyika kakasirika anapambana na Makinda na sura yake ilionyesha uzalendo wa kweli kabisa na hasira ya waTZ kufanywa wajinga kila mara. Kwa kweli sipo Dodoma lazima ningemfata nimpe hamasa zaidi.
Wakati wakupigania haki ushafika siri zote za sarikali ya kifisadi zipo hazarani ndio mana wananchi twataka kusaini mkataba mpya (katiba mpya) hawataki kwakulazimsha yao basi damu itamwagika hadi mkataba mpya tutakapo riziana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.