MAKWILO ALLY MAKWILO
Member
- Jun 12, 2013
- 32
- 13
JOHN MNYIKA amewatelekeza wakazi wa Ubungo kwa kile alichowaahidi A M U A.
(A) Akili na ajira - Hajatoa wala kusababisha ajira kwa kijana yoyote wala mwanamke yoyote ktk jimbo la ubungo.
(M) Maji na miundombinu - Kila mtaa kwa jimbo zima kuna malalamiko ya maji hakuna chochote.
(U) Usalama na uwajibikaji - Yeye mwenyewe ameshindwa kuwajibika hapatikani jimboni wala ofisini kwake na hata simu hapokei.
(A) Aridhi na afya - Hajawahi kutembelea hata kituo chochote cha afya.
Hivyo nimeamua kufanya mikutano ya hadhara kuwambia wananchi wa jimbo la Ubungo udhaifu huu.Pia nitatoa namba zake za simu kwa wananchi wamtumie sms kumtaka atimize ahadi.
Ally makwilo, niliyekuwa katbu wa CHADEMA jimbo la Ubungo.