Mbunge wa ubungo John
Mnyika amewakomba wana CCM 20 wengiwao wakiwa ni vijana na kuwaingiza
CHADEMA, haya yamejiri ktk mkutano wa hadhara ulio fanyika Kimara mtaa
wa Saranga. wanachama wapya wamekabidhiwa kadi zao na katbu jimbo la
Ubungo. Mara baada ya Mnyika kumaliza kuhutubia, inapendeza sana kama
kila tukifanya mikutano na mbunge wa Ubungo wananchi wanatuunga mkono
alisema katbu wa jimbo ndugu Ally Makwilo.