Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake

Nini Kipya hapa? Tumekuwa hayawani, munataka kuniambia waBunge wengi hawafanyi hivi? Acheni u....
wabunge wengine wapi? au hao wenye kazi ya kuwafanyia kazi ya ugaidi cdm.
 
Deshmo; Wako wengi sample ya akina Lukuvi, wananchi wanakuwa hawapewi mchanganuo wowote kuhusu fedha hizo bila kumsahau Prof.Mwandosya, Prof.Mwakyusa na Dr.Mwakyembe. Viongozi hawatakiwi kukaa kimya wanapotekeleza miradi ya maendeleo.Kama ambavyo wanawataka Wenyeviti wa vijiji na vitongoji watusomee mapato na matumizi ya vijiji, hata wabunge wasiache kutusomea mapato na matumizi ya jimbo!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi kwa maji sina cha kusema. Siamini ,ni bwelele tu. M -Mnyika, A -Aendelee , JI mboni
 
Nini Kipya hapa? Tumekuwa hayawani, munataka kuniambia waBunge wengi hawafanyi hivi? Acheni u....

Usihangaike kutoka povu kwa wivu wa kike. Wataje hapa na uweke mchanganuo kama huu wa Mnyika. kutoka rohoni Mbunge mnyika ni mtendaji mzuri sana hata hoja zake pale bungeni daima nazikubali. Natamani aje agombee jimboni kwangu ntajitahidi sana kumpa ushirikiano hata baada ya uchaguzi kuhakikisha tunapata maendeleo
 
Ooh God, najua umeumba viumbe dhaifu na Imara na kwamba wote ni viumbe wako. Nashukuru kutokuwa kama huyu! Amen
 
Nini Kipya hapa? Tumekuwa hayawani, munataka kuniambia waBunge wengi hawafanyi hivi? Acheni u....

Ndio wabunge wengi hawafanyi hususani wabunge kutoka CCM.
Mnyika anafanya na tunaona wazi sisi wenyewe, hao wengine hatujui.
 
2015 sio mbali namshauri hivyo vipesa anavyopata akatafute kibanda kurudi bungeni ni ndoto na kwa lipi? alilotufanyia wakazi wa ubungo? Asije akarudi kukaa kwa dada yake tutamshangaa vijana wenzake.
 

Wakati wengine wanakusanya hela ya Mwenge
 
kungekuwa na sheria inayoruhusu kubadilisha wabunge ningewaomba wanaubungo watupe JOHN MNYIKA halafu sisi tuwape JOHN KOMBA nadhani ingekuwa pouwa sana
 

Wee sio cdcf...ni cdf yaani constituency development fund...tatizo lenu CDM hamsomi mmekalia kupiga porojo tuu. Nyie hamtaki kujifunza mmekalia majungu tuu nendeni shule vijana
 
Hizo fedha zimetolewa na serikali mnyika amefanya kuwahi kuwahadaa wananchi ili kujitaftia umaarufu wa chee ie cheap popularity
 
Mnyika hawezi kuchaguliwa tena ubungo
 
Mtaalam wa matusi huyu mnyika hana lolote...ubungo hatuna mbunge
 
2015 sio mbali namshauri hivyo vipesa anavyopata akatafute kibanda kurudi bungeni ni ndoto na kwa lipi? alilotufanyia wakazi wa ubungo? Asije akarudi kukaa kwa dada yake tutamshangaa vijana wenzake.
kusoma haujui na picha hauoni, na sijui kama 2015 tutakuwa na wewe maana ARV'S itakua imedunda mwilini.
 
Kidumu chama cha mapinduzi.

Serikali ya CCM inapelekea wananchi maendeleo.

Mnyika hapo ni kama 'messenger'.

Akisema, anapewa pesa na serikali ya CCM.

Awe anakiri basi kama serikali ya CCM ni sikivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…