katika kile kutimiza wajibu wake wa kuisimamia na kuishauri serikali kamanda wa ubungo John Mnyika ameendelea kutekeleza ahadi. jana katika pitapita yangu nimekutana barua kutoka ofisi ya mkurugenzi yenye kuwajulisha kupokea fedha za mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo (cdcf), kwa jimbo la ubungo.
Fedha hizo hutolewa baada ya kamati ya kusimamia mfuko ambayo mwenyekiti wake ni mbunge, walipokea maombi ya mradi kutoka kata na kamati ikapitia maombi na baada hapo wakapitisha baadhi ya miradi na hii ni kutokana na kiwango cha fedha kinachopokea kutoka serikali kuu. ambayo kwa jimbo la ubungo inapokea kiasi cha sh.70milioni kwa mwaka.
Na hii ni miradi imepelekewa fedha ktk kata na kuanza utekekelezaji mara moja.
1. Fedha Tsh. 10,500,000.00 kwa ajili ya kukarabati visima 3 vya maji (mbadeco, kwa bi Asia na Anna Mkapa) na ujenzi wa kalvati eneo la National Housingi- Mburahati.
2.Fedha Tsh.10,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu eneo la ubungo islamic sec school mtaa wa kibangu kata ya makuburi.
3. Fedha Tsh. 10,000,000.00 kwa ajili ya umaliziaji wa choo cha shule ya sekondari ya gogoni-kibamba
4. Fedha Tsh. 12,000,000.00 kwa ajili ya ununuzi wa madawati 120 kwa ajili ya shule ya msingi ukombozi,manzese,uzuri na kilimani-kata manzese.
5. Fedha Tsh. 6,000,000.00 kwa ajili ya kuchangia mradi wa ujenzi wa daraja linalojengwa kwa nguvu ya wananchi katika mtaa wa kanuni, kata ya mabibo.
6. Fedha Tsh. 7,500,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa vivuko vitatu vinavyounganisha mitaa 5 kwa jongo. sisi kwa sisi, kilimahewa, kagera na mianzini kata ya makurumla.
7. Fedha Tsh. 10,319,663.00 kwa ajili ya umaliziaji wa kituo cha polisi msewe na ujenzi wa kalvati la waenda kwa miguu eneo la kibo, kata ya ubungo.
8. Fedha Tsh. 3,500,000.00 kwa ajili ya kuchangia mradi wa maji kata ya msigani.
9. Fedha Tsh. 12,000,000.00 kwa ajili ya ununuzi wa madawati 120 kwa shule ya msingi msumi, kata ya mbezi.
N.b kwa kata ambazo hazikupata fedha zitazingatiwa kwa fedha za mfuko wa jimbo kwa mwaka huu wa fedha.
Nawasilisha.