Mnyika aanika uongo wa ofisi ya Waziri Mkuu

Mnyika wana Ubungo wanataka maji na barabara ulizoahidi mambo ya uongo wa Waziri Mkuu sio kero zao.
Nikitarajia uwaulize watawala kwasababu wao ndiyo wanapanga jinsi ya kutumia kodi zetu kwa miradi ya maendeleo. Hakuna taabu subiri 2015 tutakapo wapiga chini,Mnyika atawapatia wananchi wa Ubungo maji!
 
jamani huyu jamaa anaye jiita Ritz kazi yake ni kuvuruga watu wasichangie mada na kuanza kumjadiri yeye! nawashauri wadau kumpuuzia ni km chizi aliye kimbia na nguo zako wakati wewe upo mtoni unaoga so ukimkimbiza utakuwa chizi kuliko chizi mwenyewe!
 
Mie nimemuuliza Mnyika hayo ya waziri uliza wewe.
Kuna mtu ali-hack pswd akingia humu na ID yako,
aliitumia sana tu kwenye thread ya Ufafanuzi wa Gwajima juu ya jaribio la kumuua Ulimboka.
Wasiliana na mods please.
 
Mie nimemuuliza Mnyika hayo ya waziri uliza wewe.

Sasa Ritz si upeleke kwa Mnyika moja kwa moja badala ya kuleta JF hapa ni sehemu ya kutoa fikra pevu kwa jamii si mahali pa mipasho kwa rafiki zako na wajuani wako. Vinginevyo muombe Kopa akusaidie kupasha!!!
 
wakati mwingine unweza ukawa kimya kama huna cha kuchangia,mnyika serikali?acha kutumika dume zima hovyo
 
Haya serikali ilikanusha kuwa hakuna mgogoro wala tishio la mgomo kwa kuwa madai ya walimu yameshughulikiwa, sasa nini kinaendelea?

serayamajimbo
 
Back
Top Bottom