Mnyika aanika Siri nzito CHADEMA!!

Safi sana huu ni mpango mzuri. Vitu vya kudumu huanza kujengwa kuanzia chini kwenye misingi. Busara itumike kwenye ile ruzuku angalau ifike hata harufu tu kwenye haya matawi ya chama. Kuendesha matawi kwa kutumia mifuko binafsi huwafanya wanahudumia kuona kama chama ni mali yao na hii itapunguza demokrasia ya ndani.
 
Title vs Contents are differ.
Hahaaaaa......mwenyewe nimeshangaa....!

Hivi Tanzania Daima na mashabiki wa chadema wote viraza. Jiangalieni mmejinyea hamwoni. Kichwa habari kingine habari utumbo. Source Tanzania Daima Mbowe. Wadau: viraza cdm
 
Safi sana huu ni mpango mzuri. Vitu vya kudumu huanza kujengwa kuanzia chini kwenye misingi. Busara itumike kwenye ile ruzuku angalau ifike hata harufu tu kwenye haya matawi ya chama. Kuendesha matawi kwa kutumia mifuko binafsi huwafanya wanahudumia kuona kama chama ni mali yao na hii itapunguza demokrasia ya ndani.

Nani akupe ruzuku? Josephine ameondoka au Bilicanas imepotea? we kiraza tu komaa hivyo hivyo.
 
sija ona jimpa alolo fanya mnyika hapo.
 
Mkuu, najua una Mapenzi mema sanaaa na CDM, same applies to me, lakini hii title yako haiendani kabisa na Content ya Thread
 
Mkuu tukusaidieje maana hata kiswahili kinakushinda, rudi shule hujachelewa!
 
Hahahaaaaaaa.........walitaka tusome, bila hivo pengine usingevutiwa kusoma.
So mwandishi amefanikiwa kuvuta watu ila kila anaeingia anabaki kucheka tu... maana hiyo said "siri Nzito' haonekani ila ametubamba!
 
Nimekimbia mbio nikafiri yaliyomo yamo kumbe....kishigongo zaidi
 
Molemo unazeeka vibaya! hiyo siri nzito iko wapi? au ulitaka tufungue kusoma kuhusu ufunguzi wa matawi??Chadema hatutaki hizo style
 
Molemo, hivi unajua maana ya kuanika siri nzito..

Nimejaribu kuipitia hii thread yako zaidi ya mara 10 lakini sijaona hiyo siri nzito.

Nipange upya Molemo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…