Hahahaha
Mimi mziki kucheza siwezi, napenda kuona watu wakicheza
K' Matata wataka kunifundisha kucheza au kunionesha unavyocheza?
K' Matata una Matata weye
ha ha ha ha ha sina swaliYaliyomo yamo, ndani ya Kasie Matata kuna K' Matata.
Hehehehehehee umechelewa
Wapi dudumiziii
Dadiiiii.......
Kwani uongo sasa?Acha hizo Ng’wanike one...
Hehehehehehe hehe Dudumizi tamuuuuuu hasa ukiminya rhomboids na biceps 💪 yuuhuuu.
Yaliyomo yamo, ndani ya Kasie Matata kuna K' Matata.
Hahahahahahaaa tamuuuuuu. .....
Daadiiiii