Mnyambulisho wa K' Matata

Hahahaha
Nakubaliana na wewe, sababu mie naniii wa na Dadii na nilitaka kuchepuka pia huwa nachepuka na Dadii halafu tukirudi kila mtu anajikausha kama hatujananiihii vile hehehehehee.
 
Kwani Kasie una umri gani?[emoji39] Oops nimesahau wanawake hawaulizwi hilo swali...

Na wewe kila siku nakwambia ila huishi kusahau. ....

Umri wa K' Matata sio siri 48 ila utaendelea kubakia hapohapo hautaongezeka tenaa hehehehe πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Na wewe kila siku nakwambia ila huishi kusahau. ....

Umri wa K' Matata sio siri 48 ila utaendelea kubakia hapohapo hautaongezeka tenaa hehehehe [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ooh, perfect! Huwa nasahau ujuwe. Ila hapo hakika lazima dada utakuwa zaidi ya asali...[emoji39]
 
Hahahaha

Umri muzuri huu ,ndio maana

K' Matata namfuatilia kwa karibu sana humu JF
Na wewe kila siku nakwambia ila huishi kusahau. ....

Umri wa K' Matata sio siri 48 ila utaendelea kubakia hapohapo hautaongezeka tenaa hehehehe [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…