MILCAH28
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 1,140
- 328
Historia fupi kuhusu tembo kama huijui,,TEMBO ni Mnyama mwenye uzito wa tani 7 na anakula Chakula kilo 300 kwa siku na Lita 40 za maji, Pia TEMBO Jike anabeba Mimba kwa miezi 24 sawa na miaka 2 akizaa mtoto anakuwa na kilo 80,TEMBO Dume ana Mboo urefu wa mita 2 na Unene wa inchi 7 na akifanya mapenzi anamaliza masaa 6 ndiyo anakojoa! Bao 1 lina ujazo wa lita 5. Huyo ndiyo mnyama TEMBO bwana, kesho tutamchambua mnyama Punda...