lol kumbe nia yake amshinde mwenzake kukimbia ili aliwe na simba.interestingVijana wawili wakiwa porini,mara ghafla wakakutana na simba.Kijana mmoja akainama na kuanza kuzifunga vizuri kamba za raba zake.Mwenzie akamwambia;'unafunga kamba za raba zako ili ukimbie,unafikiri utamshinda mbio simba?.Jamaa akajibu;'hapana,nataka nikimbie kuliko wewe ili nisiliwe na simba!'.
Jamaa kataka kujiua wa2 wakmzuia wakashndwa jamaa akaamua kwenda porini lkn baada ya muda wanamuona anakuja mbio huku simba akiwa nyuma.
Yani nimecheka mpk mbavu zikaniuma, hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha