Mnyama anayetembea taratibu duniani

Mnyama anayetembea taratibu duniani

Quimica

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
1,118
Reaction score
1,395
Anaitwa Three Toed Sloth kwa kiswahili akiitwa "mvivu"kama sjakosea ndiye mnyama anaefanya mambo yake taratibu kuliko wanyama wote duniani yaan hata kinyonya kwa kunyata kwakwe hamfikii huyu Sloth huyu ni slower balaa. Kama Umeshaangalia Animation Ya zootopia Mnyama Huyu alionyeshwa kama mfanyakazi wa benki [emoji28][emoji28]nlicheka sana pale alipocheka mpaka giza likaingia .

Sloth wenye vidole vitatu ni mamalia wa neotropiki wa arboreal (pia wanajulikana kama "vidole-tatu" sloths).[2] Ni washiriki pekee wa Genus Bradypus na family Bradypodidae.

☆Taxonomic Ranks

•Kingdom:Animalia

•Phylum:Chordata

•Class:Mammalia

•Order😛ilosa

•Suborder:Folivora

•Family:Bradypodidae

•Genus:Bradypus

Linnaeus, 1758.

Wapo wa aina nne za viumbe hawa kuna "mvivu" mwenye rangi ya kahawia, mvivu mwenye manyoya manyoya, "mvivu" mwenye rangi nyekundu, na mvivu mwenye vidole vitatu(three toed sloth).

Kinyume kabisa na tafiti za awali za kimofolojia, ambazo zilielekea kumweka Bradypus kama kundi dada (super family) yaan Juu ya bradypodidae hapo juu,tafiti za molekuli zinaziweka ndani ya familia ya sloth ya Megatherioidea yaani family Bradypopidae hivyo kuwafanya washiriki pekee waliosalia .

Akijizolea umaarufu wa mwendo wa polepole, mvivu husafiri kwa kasi ya wastani ya 0.24 km/h (0.15 mph).

Miguu yake yenye vidole vitatu ni sawa na mbwa mdogo au paka mkubwa, kichwa na mwili vikiwa na urefu wa sentimita 45 (inchi 18) na uzani wa kilo 3.5-4.5 (lb 8-10). Tofauti na mvivu wenye vidole viwili(two toed sloth), wao pia wana mikia mifupi ya sm 6-7 (2-3 in), na wana vidole vitatu vya kucha kwenye kila kiungo.

Sloth hawa wapo kwenye hatari yakupotea Duniani kwa sababu ya uharibifu wa makazi. Wanadamu wanakata miti ya mikoko mikundu (Red magrove tree) wanamoishi, na kufanya iwe vigumu kwa sloth hao kuishi. Kuna chini ya 100 (ambapo 2019 Walikuwepo 79 US Pekee )ya hawa wenye vidole vitatu waliosalia duniani.

Jaguar, tai na binadamu ndio wanyama wanaowinda(predators To sloth) ,ambao mvivu mwenye rangi ya kahawia lazima ajihadhari nao, na kwa ujumla, mvivu mwenye rangi ya kahawia hubakia amejificha vizuri katika matawi ya juu ya miti ambayo huwawezesha kuepuka tishio lolote la kweli kutoka kwa wanyama Hao.

Nimeweka na Video hapa Chini ikionyesha Anavyotembea huku Mapolisi Wakimtizama.

Maestro De Quimica !!OP
Screenshot_20211112-035044_WhatsApp.jpg
images%20(3)%20(10).jpg
 
Ungetuelezea mechanism yake ya survival na predators walio juu yake kwenye food chain, wana waepa vipi mpaka kufikia adulthood, pia ratio ya survival to adulthood je ikoje. Inafahamika wanyama wengi mbio ndio huwaokoa...
Tayar
 
Huyu atakuwa anajiskia... au kwa lugha nyingine tunaweza kusema ananata!!
 
Anaitwa Three Toed Sloth kwa kiswahili akiitwa "mvivu"kama sjakosea ndiye mnyama anaefanya mambo yake taratibu kuliko wanyama wote duniani yaan hata kinyonya kwa kunyata kwakwe hamfikii huyu Sloth huyu ni slower balaa. Kama Umeshaangalia Animation Ya zootopia Mnyama Huyu alionyeshwa kama mfanyakazi wa benki [emoji28][emoji28]nlicheka sana pale alipocheka mpaka giza likaingia .

Sloth wenye vidole vitatu ni mamalia wa neotropiki wa arboreal (pia wanajulikana kama "vidole-tatu" sloths).[2] Ni washiriki pekee wa Genus Bradypus na family Bradypodidae.

☆Taxonomic Ranks

•Kingdom:Animalia

•Phylum:Chordata

•Class:Mammalia

•Order😛ilosa

•Suborder:Folivora

•Family:Bradypodidae

•Genus:Bradypus

Linnaeus, 1758.

Wapo wa aina nne za viumbe hawa kuna "mvivu" mwenye rangi ya kahawia, mvivu mwenye manyoya manyoya, "mvivu" mwenye rangi nyekundu, na mvivu mwenye vidole vitatu(three toed sloth).

Kinyume kabisa na tafiti za awali za kimofolojia, ambazo zilielekea kumweka Bradypus kama kundi dada (super family) yaan Juu ya bradypodidae hapo juu,tafiti za molekuli zinaziweka ndani ya familia ya sloth ya Megatherioidea yaani family Bradypopidae hivyo kuwafanya washiriki pekee waliosalia .

Akijizolea umaarufu wa mwendo wa polepole, mvivu husafiri kwa kasi ya wastani ya 0.24 km/h (0.15 mph).

Miguu yake yenye vidole vitatu ni sawa na mbwa mdogo au paka mkubwa, kichwa na mwili vikiwa na urefu wa sentimita 45 (inchi 18) na uzani wa kilo 3.5-4.5 (lb 8-10). Tofauti na mvivu wenye vidole viwili(two toed sloth), wao pia wana mikia mifupi ya sm 6-7 (2-3 in), na wana vidole vitatu vya kucha kwenye kila kiungo.

Sloth hawa wapo kwenye hatari yakupotea Duniani kwa sababu ya uharibifu wa makazi. Wanadamu wanakata miti ya mikoko mikundu (Red magrove tree) wanamoishi, na kufanya iwe vigumu kwa sloth hao kuishi. Kuna chini ya 100 (ambapo 2019 Walikuwepo 79 US Pekee )ya hawa wenye vidole vitatu waliosalia duniani.

Jaguar, tai na binadamu ndio wanyama wanaowinda(predators To sloth) ,ambao mvivu mwenye rangi ya kahawia lazima ajihadhari nao, na kwa ujumla, mvivu mwenye rangi ya kahawia hubakia amejificha vizuri katika matawi ya juu ya miti ambayo huwawezesha kuepuka tishio lolote la kweli kutoka kwa wanyama Hao.

Nimeweka na Video hapa Chini ikionyesha Anavyotembea huku Mapolisi Wakimtizama.

Maestro De Quimica !!OPView attachment 2007537View attachment 2007538View attachment 2007539
Ha haaaaa haaa. Kwenye zootopia yule Juddy na rafiki yake walitoka Bank usiku baada ya kuhudumiwa na hao majamaa.

Nliskia wanangu wanawaita kima ureda kwa kiswahili
 
Ahaaaa ,sema wamemwitaje na Tanzania sizani kama yupo
 
Back
Top Bottom