Mnyama alivyomla Kandambili katika Picha

Mnyama anatisha. Huyo Sunzu ni noma. Angalia kwenye hiyo picha kamlamba chenga beki wa Yanga mpaka anakaa chini. Mnyama yupo juu kudadadeki!
 
Hiyo picha ya pili kutoka juu jamaa kapigwa chenga hadi chini huo ulikuwa ni udhalilishaji mkubwa...Yanga chali watu Sunzu, Sunzu...
 
Asante kwa picha ama kweli jana ilikuwa yeboyebo hadi beki imekaa chini.bado october tuwalize tena 2 bila​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…