Mnyaka Sururu Mboro: Mtanzania anayeishi Ujerumani akisaka fuvu la Mangi Meli kwa miaka 40

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
10,295
8,258
Wakuu salam, kama mada isemavyo bwana Mnyaka Mboro aliondoka nchini 1977 kwenda Ujerumani kusoma, akiwa masomoni nchini humo alipata wazo la kufuatilia fuvu la mtawala wa wachaga Mangi Meli Aliyeuawa na wajerumani mwaka 1900

Bw Mboro anasema anataka fuvu hilo ili likafanyiwe maziko ya kiheshima huko Moshi. Mboro ni mzaliwa wa Moshi mkoani Kilimanjaro, ana shahada ya uzamili(masters) aliyosomea CHUO kikuu cha Berlin.

CHANZO: BBC
 
Wakuu salam,kama mada isemavyo,bwana mnyaka mboro aliondoka nchini 1977 kwenda ujerumani kusoma,Akiwa masomoni nchini humo alipata wazo LA lufuatilia fuvu la mtawala wa wachaga mangi meli Aloyeuawa na wajerumani mwaka 1900
bw mboro anasema anataka fuvu hilo ili likafanyiwe maziko ya kiheshima huko moshi
Bw mboro ni mzaliwa wa moshi mkoani Kilimanjaro ana shahada ya uzamili(masters) aliyosomea CHUO kikuu cha Berlin
Ana undugu na Dr Shika? naona akili zao kama sawa.
 
Back
Top Bottom