Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Nimemuelewa vizuri mkuu lakin hiyo stegi ya mwisho kwenye haka kajiko ndo kananipa shida,nikifungua siisikii gesi ikifanya shiiiii ili nichukue njiti niwashe
Tafuta mkaa tu.ukileta masikhara.ukiacha ges ijae chumbani.ukipiga tu kiberiti.
MSIBA.
 
Tafuta mkaa tu.ukileta masikhara.ukiacha ges ijae chumbani.ukipiga tu kiberiti.
MSIBA.
Sasa gesi itajaa vipi chumbani mkuu wakati hata nikifungua kale kakoki gesi aifoki
 
Unafaa kuwa mshauri nasaha
 
Imeziba....usipoteze muda..kanunue kingine..la km jiran yko analo km hilo..chukua valve yk bandika kwako kutest utaona
Sie ndio tunaoshinda jikoni..na nishawah tumia hicho
Hiyo ishu nyingine tena, maana bei yake iko vizuri, haipungui 20 hapo
 
Sasa gesi itajaa vipi chumbani mkuu wakati hata nikifungua kale kakoki gesi aifoki
Wee.unaijua harufu ya ges.?hauwezi jua inatoka kwa mbaaaali.si kweli haitoki kabisa labda uwe umeifunga valve.
 
Mh,kumbe izo valvu wamezitengeeza ki ujanja ujanja,langu miezi miwili cjalitumia
Nunua burner nyingine...hazikai hizo...ukitumia muda mrefu zinatoboka kwa kutu...na km jiko hutumiii vitobo vinaziba..
Mi ishanitokeaga...
Enzi za usela nishanunuaga burner mara 3....sio imara hasa kwa kutu ndio penyewe
 
Reactions: Ftc
Halafu wewe jamaa muongo mtungi huo mdogo ndo umejaza gesi kwa 50,000?.
Pili mbona siku unapost ilikuwa sio jumapili hapo ndo unazingua
 
Na jiko la gesi likiwa linachafua masufulia ukipikia tatizo huwa ni nin?
 
Reactions: Ftc

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…