Mnitoe ushamba kuhusu jiko la gesi

Mkuu ushafanikisha?
Sijafanikiwa mkuu mtungi una gesi ya kutosha lakini nikifungua koki kale kamlio cha gesi cha shiiiiii sikasiki nahisi hii valve imeziba labda
 
Ila hizo sendo zako ziko powa sana mkuu
 
Aiseee huu umenichekesha san[emoji23][emoji2][emoji2][emoji23]
 
Kumbuka pia mtungi wa gasi ukijazwa kupita kiasi hiyo gasi haitowaka
 
Reactions: Ftc
huyu mkuu leo lazima alale njaa,kuna chaka na mimi nilikakuta hako kajiko hakika jasho zilinitoka,bila tu ku`meki kol mjini ilikuwa naangukia pua,tujiko twa kipuuzi sana huto,afu tuna makelele
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa kelele hapo umenena! Kwani Mimi nakitumia kama kicho cha jamaa cha lake gas ila mbona hakusumbui kama yy anavyodai? Tena habari ya mkaa nimeishaachana nayo kabisa;
Nimepunguza gharama ya matumizi kwa 60% kwani natumia hadi siku 40 kwa mapishi yote!! Zamani mkaa nilikuwa natumia mkaa hadi tshs 50,000/= kwa mwezi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bado hakijawaka tu? Hicho kidude cha kufungulia gas kufungia kwenye hicho kidude unachoshika wakati wa kuzungusha angalia kama kimelegea
 
Pia unaweza kujaribu kuzibua hiyo valve kwa kuchemsha na maji safi kisha kikaushe.
 
Kwa usalama wako katupe hako kwa burner au kauze chuma chakavu na ununue kapya...kinyume cha hapo uta angamiza nyumba ya watu na wapangaji wenzako.
 
Mkuu hivi katikati ya vidole vyako vya miguu viliozea
kwenye majaruba ya mpunga??
au una fangasi sugu,
maana vinaonekana vina hali tete sijui hata
kama unaweza vaa viatu au ndala...

 
Kama hujatumia muda mrefu hivyo vitobo vya hicho kivalve vinaziba kwa kutu...
Cha kufanya kanunua kivalve kingine..utakuja kunambia...
Mh,kumbe izo valvu wamezitengeeza ki ujanja ujanja,langu miezi miwili cjalitumia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…