Mkuuu hata mm nikiviona 2 nachukia kwelikweliSivipendi hivyo vijiko vya direct connection vya gesi[emoji35][emoji35]
Daah vikoje nisijage ingizwa taun[emoji27] [emoji26]Sivipendi hivyo vijiko vya direct connection vya gesi[emoji35][emoji35]
Kama hajakuelewa kwa maelezo yako mkuu, sijui atakua na kichwa gani[emoji4]Itakuwa hujaweka vizuri! chomeka hiyo valve then zungusha kama unafunga nati ikaze. Baada ya hapo zungusha koki ya kuwashia/ kutolea gas kutoka kulia kuelekea kushoto, itatoa sauti kama nyoka yaani hsiiiii, toa njiti ya kiberiti washa sogeza kwenye huto tutundu lakin usikaribishe sana unaweza ungua. Pole kwa kejeli ulizopata.
Ukimaliza leta mrejesho
Nimefanya kama ulivyonielekeza lakin baada ya kuzungusha hiyo koki ile sauti shiii siisikii kabisaItakuwa hujaweka vizuri! chomeka hiyo valve then zungusha kama unafunga nati ikaze. Baada ya hapo zungusha koki ya kuwashia/ kutolea gas kutoka kulia kuelekea kushoto, itatoa sauti kama nyoka yaani hsiiiii, toa njiti ya kiberiti washa sogeza kwenye huto tutundu lakin usikaribishe sana unaweza ungua. Pole kwa kejeli ulizopata.
Ukimaliza leta mrejesho