Wimbo wa AI: Mnisupport wimbo wangu “Luku ya Sifuri” - Mad Max ft Google Gemini!

Civilian ? 😆
Huyo huyo ,wakati nasema sasa nitulize akile niwe manager wake ndiyo wakati mara atangaze sijui political day kimataifa as If yeye ni nani sijui .

Mara atume CV yake eti isomwe internationally aisee msanii wangu yule nimeshindwa kudeal naye kabisa toka atoke nyuma ya nondo ila wewe huna mambo mengi ni mziki ukipumzika ni kutupa calculation za TRA wote tuwe na magari sio vibakuli
 
Youtube yake sahivi ana wimbo flani sio haba. Anaonesha akiwa jela mara anahojiwa mara anajenga nyumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom