sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 868
Magomvi ya kila siku huu ni mwaka wa 15 , mwanamke ni mvumilivu kupitiliza. vikao kanisani . ofisi za kata woote wamenyoosha mikono rafiki yangu ni mtu asiyeshalika juu ya manyanyaso kwa mkewe kumfukuza na hata uwajibikaji ktk nyumba hakuna.binafsi niliisha acha kusuruhisha mambo yao muda mreefu, lakini juzi shemeji yangu amenibeep nilipompigia ananisimulia matatizo yao kwanza nikashangaa kwa kufikiri kile kimya, huenda jamaa amejirekebisha kumbe hakuna kitu. hali ni ile ile sijui pa kuanzia kwani mumewe ni mkorofi sanaaa, ufika mahala hata kutoa lugha mbaya kwa mtu anayejaribu kumueleza ukweli ili kupata ufumbuzi wa kudumu ktk matatizo yao. kimsingi nimemwambia shemeji aniache nifikirie nitampigia.... NAOMBA USAIDIZI WENU.