Mnisameheee

maziwa ya mgando

Senior Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
167
Reaction score
37
Nimewamiss, nikaona mtanisahau bure

Maaskari, mnisameheee

Akyanani Bishanga ndio umejinyonga miguuu
 
Last edited by a moderator:
ah ah ah ah hatimaye kumbe ulitoka jela! ukinipa hepi basdei yangu nakusamehe...
 
tulikumiss pia, hawajambo ulikokuwa?
 
Mtindi hatuwezi kukusahau manake wewe ni kiungo, mboga na dawa. Hata MziziMkavu anajua. Kwani Bishanga kajinyongea nini, hebu leta umbea kiduchu

Umbea mbona si wa hata kupapasa? Ni wa kufikia tu!
Ni hv bila kumung'unya maneno, Bishanga ndiye ajuae kuchezea gololi zake kiumahiri, pigia mstari zile gololi zetu za Kibo hasa!
 
Last edited by a moderator:
tatizo lako wewe toka nimekunililiyu kila ukilala unaniota,next time nitapunguza kalufundi!

Yaleyalee!
Si nilisema ! King'asti eee!
Abeee!
Si nilikwambia huo mtindi unasumbuliwa na mkuno na hasa wa nazi ! Chezeiya vitoke weyee?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…