Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,526
- 19,539
Mtoto wa nzi shida nini?Sina mengi ni hivyo... Nimekaa nimejitafakari sana ..Kuna kaka zangu na dada zangu tumeongea inbox...Mnisamehe sana. Nimejifunza Kwa njia ndefu ... Mbarikiwe sana.
Mnisamehe ....
Chupa ya ngapi hiyo ya Savana?Nisamehe nyingi=kudanja kupo kwa hewa
Mi sinywi pombe mkuu...nilijifunza mwaka mmoja wa stress za talaka mwaka uliofuata nikawa To yeye yuleyule 🤒Chupa ya ngapi hiyo ya Savana?
Mezani ziko ngapi?
Mi sinywi pombe mkuu...nilijifunza mwaka mmoja wa stress za talaka mwaka uliofuata nikawa To yeye yuleyule 🤒
Alitaka kujiuaUmekosa nini ndugu?
Nope,bia zangu ni kulea wanangu...nalewa hasa mkuu☹️Ok, hongera nikajua ni wale wa bia 3 kichwani mbili mezani
Alitaka ku_commit suicideMtoto wa nzi shida nini?
Nakumbuka ulitaka kujinyonga kisa demu. Je, yule demu wako karudi?@mtoto wa nziSina mengi ni hivyo... Nimekaa nimejitafakari sana
Kuna kaka zangu na dada zangu tumeongea inbox.
Mnisamehe sana. Nimejifunza Kwa njia ndefu ... Mbarikiwe sana.
Mnisamehe ....
Halafu unakuta shida ni kuachwa na kidemu.Alitaka ku_commit suicide
Mbona mimi nalea watoto wangu mwenyewe ila nakunywa biaNope,bia zangu ni kulea wanangu...nalewa hasa mkuu☹️