Mnisaidie kwa hili la third round UDOM

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Kuna bwana mdogo wangu alipata multiple selection kwa kwa third round, alipata UDOM na SAUT Mbeya lakn aka confirm UDOM (BAED) sasa anauliza kuhusu admission letter kuwa hajatumiwa kwenye profile yake. Hivo kama kuna wana UDOM wameshapata hizi letters kwa third round mtupe mrejesho. Natanguliza shukrani
 
Awe na subira tu atatumiwa hiyo barua huko kwenye profile yake
 
Back
Top Bottom