miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Dada mi nilitarajia ushauri mzuri,lakin mbona tunakua hivi? Plz mi niko serious,help me
Kama tatizo ci pesa ingekuwa vizur sana ungemchukulia hata noan tu ingemcaidia
nina mchumba ambae ana graduate jumamosi hii ya keshokutwa,kikubwa najiuliza ni zawadi gani ninunue itamfurahisha mpenzi wangu ambae atakua mke wangu soon na ataithamini? Nimekua siku zote shallow sana kununua zawadi,tatizo si pesa ila uchaguzi,naombeni tafadhali mnisaidie
Nimeipenda hio white gold!!lakini nimependa hii zaidi....
nina mchumba ambae ana graduate jumamosi hii ya keshokutwa,kikubwa najiuliza ni zawadi gani ninunue itamfurahisha mpenzi wangu ambae atakua mke wangu soon na ataithamini? Nimekua siku zote shallow sana kununua zawadi,tatizo si pesa ila uchaguzi,naombeni tafadhali mnisaidie
Kama mkristo mpelekee bible na kitu kingine chochote. Kama, account ya benki ambayo ina matawi na atm chache sana. Itawasaidia kusave kwa maendeleo mtakapoanza maisha.